Tupigie
0675567956
Bi. Nyakaho Mturi Mahemba
Mtendaji Mkuu
Tazama Wasifu

Karibu katika tovuti hii ya Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania. Katika tovuti hii utapata taarifa kuhusu huduma zinazotolewa na Mfuko, njia za mawasiliano, mitandao yetu ya kijamii, taarifa na matukio mbalimbali yanayotokea katika Taasisi hii. Lengo ni kuhakikisha kuwa taarifa zote muhimu zinazohitajika zinapatikana katika tovuti hii ili kukuwezesha kuwa na uelewa mpana wa majukumu na huduma zitolewazo na Mfuko. Majukumu ya Mfuko ni pamoja n... Soma zaidi