Dira na Dhamira
Dira
Kuwa Mfuko madhubuti wa kukuza na kuendeleza ubora wa kazi za Utamaduni na Sanaa kwa maendeleo ya Taifa.
Dhamira
Kuratibu upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kazi za Utamaduni na Sanaa ili kuwezesha kazi hizo kukidhi viwango vya mahitaji ya soko la ndani na nje ya nchi.