Idara
Idara ya Uendeshaji
Inasimamia shughuli zote za kutoa na kusimamia Mikopo kwa Wateja..
Idara ya Fedha na Uhasibu
Inatoa utaalam na huduma kuhusu masuala ya usimamizi na utunzaji wa fedha kwa Taasis.
Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
Inatoa huduma ya msaada wa ndani kama vile utawala, usimamizi wa rasilimali watu
Idara ya Mipango
Kinatoa utaalamu, ushauri na huduma za uaandaji na utekelezaji wa Mipango na bajeti kwa Taasisi.