NAIBU WAZIRI WA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MHE. HAMIS MWINJUMA AMEPOKEA TAARIFA YA MAENDELEO YA UTOAJI NA UREJESHAJI WA MIKOPO

  • 16 July, 2024
NAIBU WAZIRI WA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MHE. HAMIS MWINJUMA AMEPOKEA TAARIFA YA MAENDELEO YA UTOAJI NA UREJESHAJI WA MIKOPO

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amepokea taarifa ya maendeleo ya utoaji na urejeshaji wa mikopo inayotolewa kwa Wasanii kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa.Taarifa hiyo imewasilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania Bi. Nyakaho Mahemba Julai 9, 2024