WAZIRI WA HABARI MAKONDA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA BUNGENI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27

  • 05 May, 2026
WAZIRI WA HABARI MAKONDA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA BUNGENI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akiwasilisha Makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Mei 04, 2026, Bungeni jijini Dodoma.