MRISHO MPOTO ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA UTAMADUNI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
- 16 July, 2024
- Dar es Salaam
- 02;34pm

Msanii Mrisho Mpoto akisaini kitabu cha mahudhurio katika Kilele cha Maeonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SabaSaba) Julai 7, 2024 katika Banda la Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania