KATIBU MKUU WIZARA YA UTAMADUNI ATEMBELE MAONESHO YA SABASABA

  • 15 August, 2023
  • Dar es Salaam
  • 08:00AM
KATIBU MKUU WIZARA YA UTAMADUNI ATEMBELE MAONESHO YA SABASABA

Katibu MKuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia) alipotembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika viunga vya maonesho ya 47 ya Sabasaba leo Juni 30, 2023