NAIBU WAZIRI WA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
- 15 August, 2023
- Dar es Salaam
- 08:00AM

Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (mb) akisaini kitabu cha wageni cha Ofisi ya Mfuko wa Utamaduni na Sanaa mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Julai 5, 2023 Dar es salaam