Warsha ya Kuwajengea Uwezo Wadau wa Utamaduni na Sanaa Mkoa wa Lindi
Wasanii mkoani Lindi wametakiwa kuchangamkia fedha Sh.Bilioni 20 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kama ruzuku za kuwawezesha kukopa ili kuwasaidia kuinua vipato vyao kupitia kazi zao za Sanaa